mitindo

 misuko mbalimbali ya nywele kwa wakina dada na kina mama inaonekana kuwapendeza sana lakini watu husema kupendeza kwa msuko wa nywele kuna tokana na sura ya mtu inaonekana kuwa kweli kama tunavyomuona mwana dada hapo juu ametengeneza nywele yake inayojulikana kwa jina la dredi lakini pia ameutengeneza mtindo wa nywele hiyo na amependeza sana.
 mwanadada hapo juu ametengeneza msuko unaojulikana kwa jina la crochet ni msuko ulioingia sana kwa sasa na mara nyingi hupenda kuutumia kwa wakina dada lakini pia unawapendeza sana wahenga husema kizuri kipewe sifa.

mwanamke urembo dada anaonekana kutoa tabasamu zuuri la furaha kama tunavyomuona na msuko wake mzuri kabisa anaonekana kuvutia zaidi nywele ni kitu bora kwa wanawake.

No comments:

Post a Comment