ACT WAPUUZIA MANENO YA AFANDE SELE
Msanii wa bongo flava na mwanachama wa ACT wazalendo Afande Sele akihutubia wakati wa kampeni |
Chama cha ACT Wazalendo kimechukua headlines baada ya msanii Afande Sele ambaye ni mwanachama wa chama hicho kupost maneno ya kudai kuwa amekua haelewi matendo ya chama hicho.
Taarifa iliyotolewa na afisa habari wa ACT Wazalendo Abdalah Hamis imesema chama hicho kimeona alichokiandika Afande Sele na wamechukulia kama maoni ya mwanachama wa kawaida na wanayeheshimu maoni hayo hata kama sio sahihi wanayapokea na hawawezi kumchukulia hatua zozote kwasababu wamechukua ni kama maono yake.
No comments:
Post a Comment